MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaongoza wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kuadhimisha miaka 59 ya Muungano kwa kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kupanda miti katika maeneo ya shule na makazi ya watu Tazama zaidi hapaHABARI PICHA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 59 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR MKOANI RUVUMA.pdf
Wanafunzi wa awali katika shule ya msingii Mbulani Kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas baada ya kuzindua madarasa mawili mapya ya awali yaliyogharimu shilingi milioni 43 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.