Mkoa wa Ruvuma umeibuka mshindi wa jumla kitaifa katika mchezo wa mpira wa wavu(volleyball) kwa Wasichana kwenye mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Sekondari (UMISSETA) 2023
Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikabidhiwa kikombe cha mshidi wa kwanza katika mpira wa wavu (volleyball) toka kwa Mratibu wa UMISSETA Mkoa wa Ruvuma Goodluck Chumi, leo ofisini kwake Juni 28, 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.