• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MKOA wa Ruvuma watoa chanjo ya UVIKO kwa asilimia 82

Imewekwa kuanzia tarehe: October 2nd, 2021

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Brigedia Jeneralii Wilbert  Ibuge ametoa rai kwa wananchi kuendelea kupokea Elimu na kuchanja kwa hiari kwa lengo la kupunguza madhara na changamoto ya ugojwa wa UVIKO -19.

 RC Ibuge ametoa rai hiyo katika kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi ya Mkoa kuhusu chanjo ya UVIKO 19 kilicho fanyika Oktoba Mosi katika ukumbi wa Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma.

Mkuu wa Mkoa ametoa rai kwa wananchi kuchanja kwa hiari kwa sababu chanjo ya UVIKO -19 ina umuhimu mkubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kupunguza vifo,gharama kubwa ya matibabu endapo mtu atapata maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO -19 na mrundikano wa wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya.

RC Ibuge amewapongeza wananchi wa mkoa wa Ruvuma kwa kupokea elimu kuhusu umuhimu wa chanjo na kuchanja kwa hiari kitendo ambacho kinatoa fursa ya mapambano dhidi ya  UVIKO -19 ambao ni nitishio kwa maisha na uhai wa binadamu.

Amezitaja baadhi ya changamoto ambazo zinasababisha wananchi kutohiari kuchanja kuwa ni kutokuwa na elimu sahihi ya faida za chanjo,watu maarufu kutoa maelekezo hasi kwenye jamii kuhusu umuhimu wa chanjo na baadhi ya viongozi wa dini kutotoa ushirikiano katika zoezi la uhamasishaji wa chanjo.

Amesema mkoa wa Ruvuma kwa kipindi cha siku nane kupitia mpango wa huduma  shirikishi na harakishi umefanikiwa kuchanja jumla ya watu 21,303 sawa na asilimia 82 kutokana  dozi 25,000 ambazo mkoa ulikuwa nazo hadi kufikia Septemba  30,2021.

“Janga lililo mbele yetu ni kupoteza maisha ,shida ya kuchanja wachache ni kuambukiza wengi,na kuchanja wengi ni kupunguza maambukizi,” amesisitiza Balozi ibuge.

Naye Katibu wa Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Ruvuma Nelly Ngeleja  ametoa wito kwa wananchi kushikamana na kushirikiana katika mapambano dhidi ya UVIKO-19 kwania ya kuushinda ugonjwa wa UVIKO -19 ambao ni tisho kwa uhai na ustawi wa binadamu.

Kwa upande wake Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Ruvuma Rajabu Songambele amewashauri watoa huduma za Afya kuwafikia wananchi katika nyumba za ibada na makongamano mbali mbali ya kidini yanayofanyika katika jamii.

Imeandaliwa na kuandikwa na

Jacquelen Clavery

Afisa Habari

Songea DC.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.