Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza kuanzia sasa shule zote za mkoa wa Ruvuma zitumie chaki zilizotengenezwa Songea ili kuwainua wafanyabiashara wa Mkoa wa Ruvuma.Mndeme alikuwa anazungumza wakati anafungua kikao maalum cha Baraza la Biashara Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika katika ukumbi wa Herritage Colttage Msamala Mjini Songea.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=hl7k2kKdjBA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.