Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, mapema hii leo amekutana na kijana Mlemavu Ali Makulayo, ofisini kwake na kumkabidhi Kiti Mwendo ili kiweze kumsaidia katika shughuli zake za kila siku.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.