MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua eneo la uwekezaji viwanda lililopo Lilambo Manispaa ya Songea lenye ukubwa wa hekari 123 ambapo tayari serikali imetoa shilingi milioni 464 kuanza ujenzi wa viwanda vidogo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.