MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameongoza maelfu ya wananchi mkoani Ruvuma katika mazishi ya watoto watano waliofariki dunia kwa kugongwa na gari katika kijiji cha Ndelenyuma Halmashauri ya Madaba wilayani Songea .TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=QkABMdzvQEE&t=126s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.