MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekabidhiwa mwongozo wa kuwafundisha vijana wa skauti kukabiliana na adui rushwa .Mwongozo huo uliandaliwa na TAKUKURU umekabidhiwa na Kamati ya mafunzo ukiwashirikisha Afisa Elimu Mkoa wa Ruvuma ,Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma ,Kamishina wa Skauti Mkoa wa Ruvuma na Mkuu wa Jeshi la Zimamoto mkoani Ruvuma ..
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPAhttps://www.youtube.com/watch?v=mDpV-OGfKKU
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.