SERIKALI ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa shilingi bilioni 12 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wiayani Nyasa mkoani Ruvuma.Mradi huo unatelezwa kwa miezi 12 kuanzia Desemba 2019 hadi Machi 2021 ukitekelezwa na Mkandarasi Kampuni ya CHICCO ya watu wa China.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ametembelea na kukagua hatua za awali za utekelezaji wa mradi huo ambao ukikamilika utatoa fursa mbalimbali za uwekezaji.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=FVH1sF8dBkY
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.