MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge awaasa wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Ruanda Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kuacha utoro na kujiepusha na mimba za utotoni badala yake wajikite zaidi kwenye masomo.RC Ibuge amesema shule hiyo ipo katika eneo la machimbo ya madini ya makaa ya mawe hivyo kuna vishawishi vingi ambavyo vinaweza kuwaingiza kwenye vitendo vitakavyoathiri masomo yao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.