Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ametoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi laki nane pamoja na fedha taslimu shilingi 690,000 kwa ajili ya watoto yatima 74 wanaolelewa na Kituo cha kulelea yatima kinachomilikiwa na watawa wa Mtakatifu Agnes Chipole jimbo kuu la Songea.Mkuu wa Mkoa ametoa msaada huo kuwafariji watoto hao kuelekea sikukuu ya pasaka
Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Sefu Madenge na picha ya chini ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa katika picha ya pamoja Kamati ya Ulinzi na Usalama na watoto yatima katika kituo cha watoto yatima Chipole
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.