Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wananchi wa kijiji cha Amanimakoro wilayani Mbinga katika ziara ya Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa pichani kulia.
Mkuu wa Mkoa Amesisitiza serikali ya Mkoa itambana vilivyo Mkandarasi wa Ujenzi wa barabara hiyo kipande cha Amanimakoro hadi Ruanda chenye urefu wa kilometa 35 ili aweze kukamilisha ujenzi
Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 60 kujenga barabara hiyo ambapo hadi sasa Mkandarasi huyo kutoka nchini China muda wa mkataba wa ujenzi umemalizika Desemba 2023 ambapo hadi sasa ametekeleza mradi kwa asilimia 25 tu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.