Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiambata na Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma pamoja na Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa wakati alipofanya ziara ya kutembela na kukagua ujenzi wa vyumba kumi vya madarasa, mabweni manne na vyoo matundu 15 katika Shule ya Sekondari Pamoja iliyopo wilayani Namtumbo ambapo Serikali imetoa Zaidi ya Shilingi milioni 900 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.