Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Kanali Laban Thomas ametembelea Banda la maonesho ya nane nane la Halmashauri ya Wilaya ya Songea lilipo katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya na kuangalia mifugo mbalimbali kama samaki, Bata, kuku pamoja na Ng'ombe na kilimo cha mazao na mboga mboga.
Maonesho ya kimataifa ya nanenane mwaka huu yalizunduliwa Agosti Mosi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango na yanatarajiwa kufungwa Agosti nane mwaka huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tannzania Dkt.Samia Suluhu Hassan jijini Mbeya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.