MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas Pichani kushoto akipata maelezo juu ya utendaji kazi kuhusu mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) kutoka kwa Afisa Uhusiano Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul Njaidi, katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane Nyanda za Juu Kusini ambayo yalizinduliwa na Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango Agosti Mosi, jijini Mbeya,yanatarajia kufungwa Agosti 8,2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.