MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekutana na kamati za maafa ngazi ya Mkoa na ngazi za wilaya zote tano katika Mkoa wa Ruvuma,lengo kuu ni kupata ripoti ya mapambano dhidi ya Corona katika Mkoa na hatimaye ametoa maagizo 20 ya kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo ni janga la Dunia.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=-X2dt0IM0FU&t=19s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.