MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametoa rai kwa wananchi mkoani Ruvuma kujiunga na Bima ya Afya iliyobereshwa(i CHF) ili kuweza kumudu gharama za matibabu ambapo amesema katika dunia nzima njia rahisi ya kugharamia matibabu ni kupitia Bima ambapo hivi sasa ulimwenguni kote hawatu hawagharamii matibabu kwa kutoa fedha kutoka mfukoni na kwamba hapa nchini huduma zinazotolewa kupitia CHF iliyoboreshwa zinaendelea kuboreshwa ikiwemo upatikanaji wa dawa.RC Ibuge awaagiza wakuu wote wa wilaya mkoani Ruvuma kuhamasisha wananchi kujiunga na CHF iliyoboreshwa .Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=GMYFIW--Y6k
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.