MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewapa mbinu wanaume wanapoendesha vyombo vya moto ikiwemo magari na pikipki ili kupunguza ajali.Alikuwa anazungumza wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki 20 kwa maafisa Tarafa 20 ,pikipiki hizo zimetolewa na Rais wa Awamu ya Tano Rais Dkt John Magufuli ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ambayo aliitoa mwaka 2019 Ikulu jijini Dar es salaam kwenye kikao kilichowashirikisha maafisa Tarafa kutoka nchi nzima.TAZAMA habari zaidi https://www.youtube.com/watch?v=zWKOgF_8wgI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.