Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua Mfumo wa Rufaa na usafiri wa dharura kwa wajawazito,waliojifungua na watoto wachanga (M-MAMA)
Uzinduzi huo umefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea na kushirikisha wadau kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma .Mada kwenye kikao hicho zimewasilishwa na Mtaalam kutoka hospitali ya Rufaa Mkoa Songea Hilda Ndambalilo ambaye ni Muunguzi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ,Mkurugenzi wa M-mama Tanzania Vodafone Foundation Dolorosa Duncan na wawakilishi kutoka Wizara ya Afya na TAMISEMI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.