• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brig.Jen .Ibuge akabidhiwa ofisi leo

Imewekwa kuanzia tarehe: May 25th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma  Brig. Jen. Wilbert Ibuge amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ambaye kwa sasa ni Naibu katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara.

Ibuge baada ya kukabidhiwa ofisi hiyo amesema  watumishi wa serikali na viongozi ni viungo vya kuwasaidia na kutetea maslahi ya wananchi wa Ruvuma na watanzania ili kuhakikisha Mkoa unakuwa salama na Tanzania kwa ujumla.

“Naombeni watumishi wenzangu tuwe wamoja kwaajili ya maslahi ya wanaruvuma ambao tumedhaminiwa kuwatumikia kwa lengo la maendeleo na wananchi waendelee kuiamini serikali yao waliyoiweka madarakani kwa kishindo  kama hatuta pigania haki na usalama wao tutakuwa tumepotoka “.

Hata hivyo Ibuge ameendelea kuwasisitiza viongozi wote wa mkoa kuwa daraja ya kuwatumikia watanzania na amemshukuru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa kwa kumpokea na kumwachia Mkoa na ameahidi kuutumikia Mkoa huo kwa ukamilifu.

Mndeme akimpongeza Ibuge kwa kuteuliwa na Rais Samia na amemkabidhi watumishi wa Ofisi hiyo na kuwaomba kumpa ushirikiano kwa kujituma.

“Nawaomba mfanye kazi kwa kujituma  zaidi ya nilivyokuwepo mimi kila mtu kwa nafasi yake anapohitajika katika shuguli za utekelezaji wa maendeleo ya Mkoa wa Ruvuma na kumpa ushirikiano Mkuu wa Mkoa“.

Mndeme akisoma taarifa ya makabidhiano amesema mafanikio yaliyopatikana nikutokana na  ushirikiano aliopata kutoka kwa Wakuu wa Wilaya,Kamati ya ulinzi na usalama,Wakuu wa taasisi ,viongozi wa chama pamoja na wananchi kwa ujumla.

Amesema taarifa hiyo imezingatia Ilani ya  chama cha mapinduzi ya mwaka 2015-2020 katika ngazi zote Serikali kuu na mamlaka katika serikali za mitaa imeainisha  ,kuondoa umaskini,kupunguza tatizo la ajira kwa vijana,kuendeleza mapambano dhidi ya adui rushwa, ubadhilifu wa mali za umma na kudumisha amani na usalama wa raia pamoja na mali zao.

Mndeme amesema kwa kipindi cha mwaka 2015-2020 taarifa hiyo imezingatia utekelezaji wa dira ya maendeleo  ya Taifa ya mwaka 2021-2025 mpango wa maendeleo ya Taifa ya miaka mitano,na mpango wa maendeleo wa miaka 5 wa kupunguza umaskini na kuongeza uchumi.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Afisa habari Halmashauri ya Madaba

Mai 25,2021.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.