MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiwa na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Oktoba 4,2021 anatarajia kukagua mradi wa daraja la Ruhuhu linalounganisha Mkoa wa Ruvuma na Njombe kupitia Wilaya za Nyasa na Ludewa..Mradi wa daraja hili umekamilika na upo katika hatua za mwisho anbapo serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni sita kukamilika mradi huu ambao utakuwa ukombozi wa wananchi wa mikoa ya Ruvuma na Njombe
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.