Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa uwasilishaji,usambazaji na uhamasishaji wa matumizi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 mkoani Ruvuma ambao unafanyika Juni 19,2023 kwenye ukumbi wa Parokia ya Bombambili mjini Songea kuanzia saa tano asubuhi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.