Pichani mwenye kofia ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Ngollo Malenya akiwa kwenye mtumbwi akitalii ndani ya Bwawa la Chengena lililopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. Bwawa la Chengena ni kivutio cha utalii wilayani Namtumbo kwani muonekano wake linafanana na ramani ya bara la Afrika.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.