Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Mhe. Kisare Matiku Makori ameongoza kikao cha maandalizi kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wakulima Nanenane 2024 kikao ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Gereza la Kitai, Mbinga Mkoani Ruvuma.
Mkuu wa Wilaya ameongoza wajumbe kujadili na kuweka mipangao na mikakati kuelekea maadhimisho hayo yanayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu.
kikao kimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo waheshimiwa madiwani, watendaji wa kata na vijiji, maafisa ugani na wadau wengine wakiwemo wawakilishi wa Kampuni na Taasisi mbalimbali za umma na binafsi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.