Mlima Matogoro uliopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umekuwa kivutia cha wageni wengi kutoka ndani na nje ya nchi kwa kuwa vivutio mbalimbali ambavyo vinavutia wengi,Miongoni mwa vivutio hivyo ni mlima wa kuvutia ,chanzo cha mto Ruvuma wenye urefu wa zaidi ya kilometa 800 ambao unapita katika wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma na kumwaga maji yake katika bahari ya Hindi mkoani Mtwara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.