MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewatahadharisha Askari wa Usalama barabarani kuchukua tahadhari wanapofanya kazi ya ukaguzi wa magari ili wasijekuambukizwa na virusi vya corona ambavyo vinasambaa kwa kugusana na njia ya hewa.Mndeme amesema trafiki wamekuwa wanakagua madereva wa magari mbalimbali kwa kukagua leseni ambazo husishika hivyo wapo katika hatari ya kupata virusi vya corona wasipochukua tahadhari hasa kutumia vitakasa mikono na kunawa maji na vifaa vingine vya kujikinga vinavyoshauriwa na watalaam wa afya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.