Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ni mojawapo ya shule 26 za mikoa zilizojengwa na serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Shule hii ipo katika Wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma, na ilizinduliwa rasmi na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 27 Septemba 2024
Ujenzi wa shule hii umegharimu shilingi bilioni 4.6 .Shule ina uwezo wa kuchukua zaidi ya wanafunzi wa kike 1,200 kutoka kidato cha kwanza hadi cha sita. 
Shule hii inalenga kutoa elimu bora kwa wasichana, hasa katika masomo ya sayansi na sanaa, ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.