Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akipiga makofi baada ya kuweka jiwe la msingi na kufungua maji kwenye mradi wa maji wa Kata ya Liuli wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.wengine kushoto ni Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya.Serikali imetoa shilingi bilioni 4.7 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.