SERIKALI ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli imetoa kiasi cha shilingi bilioni 12.28 kutekeleza mradi wa kimkakati wa ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.Mradi huo unatekelezwa na Kampuni ya CHICCO ya watu wa China.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=1XrS_pdpeCE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.