MBUNGE wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya akizungumza baada ya kutembelea mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi bilioni 6.4 katika Kijiji cha Mwerampya Kata ya Lituhi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma .Mradi huo unaotarajia kukamilika Aprili 2023 unahudumia vijiji saba .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.