Mto Ruvuma ambao unaanzia katika milima ya Matogoro Manispaa ya Songea na kupita katika wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma kisha kumwaga maji yake ndani ya Bahari ya Hindi mkoani Mtwara ni miongoni mwa vivutio adimu vya utalii katika Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.