Chanzo cha Mto Ruvuma ni katika milima ya Matagoro, Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma kusini mwa Tanzania.
Mto huu unaanzia eneo hilo na kupita wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma kisha unapita kusini-mashariki ukielekea mpaka wa Tanzania na Msumbiji, ambapo unaunda mpaka wa asili kati ya nchi hizi mbili.
Baada ya safari ya takriban kilomita 800, Mto Ruvuma ukiwa Mkoani Mtwara unamwaga maji yake katika Bahari ya Hindi
Mto Ruvuma una umuhimu mkubwa katika sekta za utalii ,usafirishaji na kilimo kwa maeneo yanayouzunguka, na pia ni makazi ya wanyamapori na viumbe wengine wa majini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.