Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni sita kujenga stendi ya kisasa ya mabasi ya Mkoa wa Ruvuma katika eneo la Kata ya Tanga Manispaa ya Songea.Wawekezaji mbalimbali wanahamasihwa kwenda kujenga nyumba za kulala wageni na hoteli katika eneo hilo hali ambayo itaongeza uchumi na kupanua mji wa Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.