KIONGOZI wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameridhia kufungua jengo la kutolea huduma za dharura (EMD) katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea ambalo serikali kupitia Wizara ya Afya ilipokea zaidi ya shilingi milioni 630 kutekeleza mradi huo uliokamilika kwa asilimia 100 na jengo limeanza kutumika tangu Oktoba 2022.
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea (HOMSO) ina vitanda 321 na ina watumishi 431 wa kada mbalimbali
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.