Mbunge wa Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma Mheshimiwa vita Kawawa akizungumza na Jumuiya ya shule ya sekondari Namabengo ambapo amewapongeza walimu na wanafunzi kutokana na shule hiyo kuongoza katika wilaya ya Namtumbo kwa matokeo ya kitaifa ya kidato cha sita .Mbunge pia amewatoa mipira na jezi seti mbili kwa wanafunzi ili kuimarisha michezo katika sekondari hiyo yenye wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.