MKUU wa Mkoa wa Ruvuma ameipongeza wilaya ya Namtumbo kwa kuongoza utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 aina ya sinopharm ambapo ndani ya mwezi mmoja wa Oktoba watu zaidi ya 4000 walkuwa wamechanja hali ambayo imesababisha wilaya hiyo kuongoza katika utoaji wa chanjo hiyo ya awamu ya pili katika Mkoa wa Ruvuma.
Habari kwa kina Tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=c99krit1-UY&t=28s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.