WILAYA ya Nyasa ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma kwa sababu kuna vivutio vya kila aina vya utalii hivyo mwekezaji anaweza kuwekeza kwa kujenga hoteli za kitalii kama unavyoona kwenye picha hoteli ya St.Vincent na Mhalo Beach Lodge zilizopo kwenye fukwe ya Mhalo Kilosa Mbambabay .
Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=xKVZTu6C3hk
Tazama pia hapa https://www.youtube.com/watch?v=llAn-OTn84E
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.