HALMASHAURI ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imepongezwa kwa kukamilisha madarasa mapya 54 kupitia fedha za serikali za UVIKO 19..kati ya madarasa hayo mapya madarasa 44 ni shule za sekondari na madarasa kumi shule shikizi za msingi.Tazama zaidi https://www.youtube.com/watch?v=-u4JOZjhXmQ&t=37s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.