OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kupitia Kitengo chake cha kushughulkia malalamiko na kero kwa kushirikiana na Ofisi ya Ardhi wilayani Tunduru wamefanikiwa kumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 14 katika kijiji cha Mbesa wilayani Tunduru.
Kushoto picha juu ni Afisa Malalamiko na Kero kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Amina Tindwa akiwa na pande zote zilizohusika na mgogoro huo pamoja na wajumbe wa Kata ya Mbesa katika eneo lenye mgogoro wa ardhi kijiji cha Mbesa ili kuona eneo lenye mgogoro na kufikia maamuzi baada ya kujiridhisha katika nyaraka na uhalisia wa eneo husuka na kisha kutoa maamuzi sahihi kuhusiana na mgogoro huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.