Pichani katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako akioneshwa ukubwa wa Shamba la AVIV Mwekezaji zao la kahawa katika kijiji cha Lipokela Kata ya Liganga Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Mwekezaji huyo amewekeza katika shamba la kahawa lenye ukubwa wa hekari zaidi ya 1000 ambalo linatoa ajira kati ya 1000 hadi 3000.
Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.