Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku tani 77,000 mkoani humo kwa msimu wa mwaka 2022/2023 hali iliyoongeza uzalishaji kwa wakulima.
Kanali Thomas alikuwa anazungumza kwenye maonesho ya nane nane ndani ya viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.
Maonesho hayo yalizinduliwa na Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango Agosti Mosi mwaka huu jijini Mbeya na kilele chake kinatarajiwa kuwa Agosti nane mwaka huu.
Mkoa wa Ruvuma kwa miaka 13 mfululizo unaongoza kwa uzalishaji wa chakula nchini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.