Picha ya juu kulia ni aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki ambaye amehamishiwa mkoani Kagera amewaaga wataalam kutoka Menejimenti ya Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma..Kushoto ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Jumanne Mwankhoo
Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma ni Bi Rehema Self Madenge ambaye alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.