Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo ameongoza kikao cha wakurugenzi wa Halmashauri zote nane za Mkoa kuhusu kufungwa Mfumo Madhubuti wa Usimamizi na Uendeshaji wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya (CENTRALIZED GOTHOMIS)
Kikao hicho ambacho kimefanyika kwenye ukumbi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea kimewashirikisha pia waganga wakuu wa Halmashauri za Wilaya,makatibu wa afya na Maafisa TEHAMA wote .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.