KATIBU Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki amewaongoza watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kumuaga mtumishi mwenzao marehemu Musa Hamsini alliyekuwa Mhasibu Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambaye alifariki kwa kugongwa na gari usiku wa kuamkia Januari 22 mwaka huu.
Mazishi ya Musa Hamsini yanatarajia kufanyika Uyole jijini Mbeya ambapo Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali Watu Bakari Mketo ameongoza watumishi wawakilishi kwenye mazishi hayo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.