KATIBU Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Mashauri Ndaki pichani kushoto akipata maelekezo ya kilimo na ufugaji bora kutoka kwa mtaalam wa kilimo alipotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya ya Songea katika maonesho ya wakulima ya kimataifa ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.
Maonesho hayo yalizinduliwa na Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango na yanatarajiwa kufungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 8/8/2023 jijini Mbeya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.