TIMU ya RAS Ruvuma imeendeleza wimbi la ushindi kwenye mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro,baada ya leo Oktoba 25 kuifunga timu ya RAS Mara jumla ya mabao 39 kwa tisa.Hapa jana timu ya RAS Ruvuma ilishinda mchezo dhidi ya Mambo ya Nje baada ya kuifunga mabao 29 dhidi ya 24 ya Mambo ya Nje.Mashindano ya SHIMIWI yanafanyika kwa wiki mbili yakishirikisha Mikoa,Wizara ya Taasisi mbalimbali za umma.
Wachezaji wa RAS Ruvuma wakiwa katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro,wamepata ushindi mara mbili mfululizo hivyo kuendelea vema kuwakilisha Mkoa wa Ruvuma kwenye mashindano ya SHIMIWI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.