Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma awaagiza watendaji wa afya mkoani Ruvuma kuhakikisha kuwa wanatoa elimu sahihi ya chanjo mpya aina ya sinopharm ambapo mkoa wa Ruvuma umeletewa dozi zaidi ya 31,000 ambazo tayari zimegawiwa katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=G1Qfqi9kHpc
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.