MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametahadharisha kuwa bila amani hakuna maendeleo yanayoweza kupatikana.Akizungumza mara baada ya kukagua mpaka wa Chiwindi wilayani Nyasa,ambao unaigawa Tanzania na Msumbiji,RC Ibuge amewataka viongozi na watendaji wa serikali kushirikiana na wananchi kulinda mipaka ya nchi kwa kutoruhusu watu wenye nia mbaya kuharibu amani ya Tanzania.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=1U2Bn9vC7cs
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.