MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemshukuru Rais Dkt John Magufuli kwa kubadilisha miundombinu ya Mkoa wa Ruvuma ikiwemo barabara,majini na angani hali ambayo imesababisha Mkoa kuwa na miundombinu rafiki kwa maendeleo ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.Mndeme alikuwa anazungumza kwenye Mkutano wa 14 wa mwaka wa Baraza la wafanyakazi wa TANROADS Taifa uliofanyika mkoani Ruvuma kwenye ukumbi wa Parokia ya Kanisa katoliki Bombambili mjini Songea.Tazama habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=pGAm-rvpKPw&t=39s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.