Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma Balozi, Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameripoti kwa mara ya Kwanza katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa kukutana na watumishi wa Ofisi yake ambapo ameomba ushirikiano baina ya wafanyakazi ili kazi iendelee ya kuwahudumia wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. Mkuu wa Mkoa pia ametembelea baadhi ya kata za Manispaa ya Songea na kukutana na wananchi. Pichani katikati kutoka kushoto ni RC mpya wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema, wengine kushoto kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Steven Mashauri Ndaki na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma d
f
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.